biashara na tangazo

  1. G

    Naomba mnijulishe bei ya iliki iliyopo sokoni kwa sasa kwa maeneo mliopo

    Habari ndugu.!! Mwenye kuelewa bei ya iliki sokon kwa sasa inaendaje (nijuze bei ya sokoni kwa sasa pamoja na mkoa husika uliopo)
  2. S

    Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

    Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru! Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China) Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
  3. Lawrance franci

    Jipatie mashine zote kwetu

    *DOT MACHINERY PRODUCTS* TUNAUZA MACHINE ZA UJENZI|VIWANDANI|MAJUMBANI|KILIMO|USAFI| CAR WASH MASHINE INAYOTUMIA DIESEL-2.5M BOTTLE JACK KUANZIA 100,000/= - 300,000/= MASHINE YA KUPUKUCHULIA MAHINDI-YA UMEME 1.2M YA DIESEL 1M JACK YA KUBEBEA MIZIGO KUANZIA 2.9M-3.7M GENERATOR YA 6.5KW,YA...
  4. Camo97

    Car4Sale Toyota brevis for sale

    Toyota brevis in good condition with full documents inauzwa 7.5million kwa mawasiliano njoo pm tufanye biashara
  5. Danielkiparaela

    Ela Lishe karibu Unga wa lishe uliobora kabisa una Tumiwa na watu wa jinsia zote na umri wote kwa mahitaj wasiliana piga 0712483713 au 0785879937

    ELA Lishe ni unga wa lishe wenye Afya kwa yeyote Faida yake 1)umpatia mtu Nguvu Kwa wale wanaofanya kazi ngumu au wasiojisikia kula hii *Chakula tosha 2) Uimarisha Mfumo wa Akili na Uti wa Mgongo wa mtu mzima na mtoto 3) Ni kifungua kinywa kwa Hasubuhi pia 4)Kulikuwa na malalamiko kwa wazazi...
Back
Top Bottom