biashara na ujasiriamali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FORBIDDEN HISTORY

    Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

    Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata. Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭 Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu. Sehemu niliopo imechangamka...
  2. Mindyou

    Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

    Wakuu, Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha. Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana. Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya...
Back
Top Bottom