Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu.
Sehemu niliopo imechangamka...