Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh yaani (the international conversation and...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Dotto Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Imefuta zaidi ya tozo na kero 370 Kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji Nchini.
Bwana Biteko amesema hatua hiyo imechochea kukua Kwa biashara na uwekezaji Nchini akitolea mfano ongezeko la...
Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu.
Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo, kwa muda mrefu na kwa msimamo bila kuacha.
Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni...
Utangulizi:
Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale yameonyesha nia kubwa katika sekta ya madini, huku miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR) ikipata...
Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili.
Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvastory Mbilinyi...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi hizo.
Makubaliano hayo yameafikiwa wakati wa Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji.
Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji.
Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar.
Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika.
Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
Na Bwanku M Bwanku.
Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai.
Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day)...
Je umefanya maamuzi ya kufikia uhuru wa kifedha kupitia majengo ya kupangisha?. Je umefanya maamuzi ya kustaafu mapema zaidi kupitia majengo ya kupangisha?.
Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha ukiwa unaendelea na ajira yako?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha...
biashara inayolipa
biasharanauwekezaji
kodi ya jengo
kodi ya majengo
nyumba bei rahisi
nyumba dodoma
tozo ya majengo
ujasiriamali kwa simu
wizara ya ardhi
Kumbuka kuwa thamani ya nyumba ya biashara inaweza kuathiriwa na muda wa mkataba wa upangishaji wa nyumba husika.
Nyumba ya biashara yenye mkataba wa upangishaji wa miaka mingi inakuwa na thamani kubwa ukilinganisha na nyumba ya biashara yenye mkataba wa miezi michache tu.
Vilevile jambo hili...
Habari za muda huu wana Jamii Forums.
Takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikijiuliza hili swali "Tofauti kati ya biashara na uwekezaji ni ipi" linaweza likawa swali la kijinga au la kitoto kwa baadhi yenu lakini binafsi limekuwa likinitatiza sana na ningependa kujua.
KARIBUNI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.