Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza.
Niliwaza kutenengeza pedi lakini naona mtaji wake utanishinda inabidi mzigo kuagiza utengenezwe China pia nikisema nizalishe hapa hapa...
Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets.
Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
Salaam Wakuu!!
Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto.
Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.