biashara tanzania

Biashara United is a football club based at the Karume Football Stadium in Musoma, Tanzania. They play in the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  2. Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  3. Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

    Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...
  4. Biashara za simu na kompyuta na uagizaji: Bei zetu zote kwa biashara Tanzania

    BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA 📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa ➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu 📱, kompyuta 💻, kamera 📷, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
  5. Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Serikali kupanua biashara nje ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi leo jijini Arusha. Kikao hicho...
  6. Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  7. Benki ya biashara tanzania (TCB) yaendelea kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa kutoa ushirikiano katika miradi ya miundombinu

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
  8. Elimu ya juu inakuzwa sana kuliko uhalisia kwenye biashara. Elimu ya form 4 inatosha sana kwenye biashara za Tanzania

    Kwanza kabisa huwa nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mtu asome mpaka chuo ili aweze kufanya biashara wakati wanachuo hao wapo bize kutafuta ajira na wakizipata wanaridhika na mishahara. Na hata wasomi wanaofanya biashara wengi wao wanafanya biashara hizi hizi wanazofanya watu walioshia darasa...
  9. UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
  10. Nimegundua ni hatari kuhifadhi pesa benki ukiwa unafanya biashara Tanzania

    Wafanyabiashara wengi, wakubwa, wa kati kwa wadogo huu mwisho wa mwaka wamekutwa na dhahama la kusikitisha na kuhuzunisha, wamefungiwa account binafsi za benki na zile za biashara na mamlaka moja yenye nguvu. Kwenye mazingira kama haya ambapo unaporwa hela zako zote, kuna haja gani ya kuweka...
  11. Shoppers Trading Ltd yadaiwa wameamua kufunga biashara Tanzania

    Wanadai sababu ni kukosa fedha za kujiendesha
  12. Rais Samia akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), 12-9-2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe 12 Septemba, 2022
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…