Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa upande wa pili Tabora utd tayari ilishachapwa na JKT ndani nje, Sasa kwanini Biashara ameshapambana...