Hivi ni kweli biashara ya bar na kumbi za starehe ina laana? Zamani nilikuwa na rafiki yangu mfanyabiashara aliyekuwa anaishi Chunya, Mbeya. Wakati huo, mimi nilikuwa katika biashara za magari, zote tukiwa tumerithi kutoka kwa wazazi wetu.
Katika mazungumzo yetu kuhusu maisha na biashara...
Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki mkubwa (sijui bei yake) ingependeza kama kuna watu wanafanya biashara waje watoe uzoefu wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.