Huenda umekuwa ukitumia usafiri wa Bajaji (pikipiki ya matairi matatu) na kudhani kuwa zote zinatumia mafuta ya petroli pekee.
Hata hivyo, hali imebadilika! Sasa kuna Bajaji zinazotumia Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG), ambayo ni nafuu na yenye faida kubwa kwa madereva na wamiliki wa vyombo...
Wakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu
Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.