Wakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha yangu
Ninunue bajaji mpya niwe nabeba abiria kwenye vijiwe hivi vya mitaani au nifungue duka la vifaa...