samahani wadau naomba kujuzwa kuhusu pikpiki ipi nzuri kwenye biashara ya bodaboda kati ya hizi hapa;-
1. Sanlg
2. Tvs
3. Boxer
Nasubiri kutoka kwenu jamani asanteh.
Katibu Mkuu wa UVCCM mh Jokate amesema Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa taifa letu
Ndio Sababu Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia Inawapenda, amesisitiza Boss huyo wa UVCCM
---
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amesema Maafisa usafirishaji (Madereva bodaboda) ni injini muhimu...
Ramadhan Ng’azi Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani alisema hayo kwenye redio ya Crown FM.
“Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa, madereva".
Je, kama vyombo vya polisi na idara zenu...
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.