Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...