biashara ya duka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manfried

    Mtu umekaa katika taasisi kubwa ya kimataifa leo unaulizia biashara ya duka la mangi, Watanzania hebu kuweni makini

    Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100. Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.
  2. Jack Daniel

    Biashara ya duka na vitimbwi vya taasisi

    Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje? Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
  3. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
  4. P

    Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka. Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
  5. Ubungo Mataa

    Biashara ya bodaboda vs biashara ya duka la nafaka na mahitaji ya nyumbani

    Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi. Msaada!
  6. Mtenzeli

    Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  7. Mayova

    Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
Back
Top Bottom