Maafisa wa upelelezi kutoka Makao Makuu ya DCI-Nairobi wamemkamata Daniel Mbugua Njogu, anayejulikana pia kama Dan, katika makazi yake eneo la Kimbo. Njogu (30), anashtakiwa kwa kuwalaghai watu wengi kwa kisingizio cha biashara ya fedha (forex trading).
Kukamatwa kwake kunafuatia uchunguzi wa...