biashara ya kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Biashara ya Kenya katika soko la Afrika yakua kwa 26% katika miezi saba ya mwanzo ya mwaka 2024

    Biashara ya Kenya ndani ya bara la Afrika imeendelea kuimarika, huku ikiongezeka kwa asilimia 26 katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita. Ripoti ya Benki Kuu ya nchi hiyo iliyotolewa Jumatatu Novemna, 2024 inaonesha kuwa ukuaji huu umetokana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…