Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa.
ππππΎ sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu