Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu...
Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
Habari wana JF
Mwenzenu nna kitu leo natamani ku share na nyie wakuu mwenye mwanga au wazo juu ya hili nigependa kupata wazo ama ushauri.
Mi natamani sana sana na ni ndoto yangu kubwa sana kufanya biashara ya madini hasa ya dhahabu naipenda sana hii biashara.
Sasa challenge nilokuwa nayo ni...
“NI MARUFUKU BIASHARA YEYOTE YA MADINI KUFANYIKA MAJUMBANI WILAYANI TUNDURU – WAZIRI MAVUNDE”
Apiga marufuku wageni kwenda kununua madini machimboni
Aweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko la madini
Asema wafanyabiashara wa madini Tunduru ni mfano wa kuigwa kwa kujenga Soko la madini kwa...
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani.
Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia Mafuta,Dhahabu Hadi chumvi Kwa Wingi zaidi.
Hata kwenye Dhahabu ambako tuandhani tuna utajiri ,hakuna...
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari hiki hapo chini ndio hicho kifaa nimejaribu kukidownlos
KWA HAPA TANZANIA
Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA.
Kinauzwa tsh 20,000/= kinapatikana dar es salaam katika bookshop ya TPH POSTA na kama upo mkoani wapigie tu...
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji...
Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka.
Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya...
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara.
Natanguliza shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.