biashara ya mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Napa-huu

    Msaada kusu biashara ya kuuza mahindi

    Habari! Nina mahindi gunia 25 za mahindi, zipo mbinga, Ruvuma. Kwa sasa bei sokoni ipoje? Au naweza kupata makampuni ili kuwauzia mzigo wote kwa pamoja? Au naomba ushauri, niuze kwa namna gani?
Back
Top Bottom