biashara ya mayai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Biashara ya Mayai inalipa sana

    Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini. Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh 34000 na hio ni siku moja. Nikiuza mwezi mzima nitakuwa na tsh 34000 ×30 =1020000 hapo nikitoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…