biashara ya mchele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  2. Nataka kufungua duka la mchele, naomba ushauri

    Nina mpango wa kufungua store ya mchele DSM, sipo kwa muda wa miaka 3. Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa sasa nilitaka niingie na Tone 2 nikiwa na cash Mil.2 Najua mtaji wangu unaweza kuonekana mdogo sana...
  3. Nataka kufungua store ya mchele Dar, msaada

    Nina mpango wa kufungua store ya mchele Dsm...sipo kwa muda wa miaka 3 ... Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa sasa nilitaka niingie na Tone 2 nikiwa na cash Mil.2 Najua mtaji wangu unaweza kuonekana mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…