Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.
Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala...
Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho)
Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu.
Asee niaje? Wazee mpo??
Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
Nenda zako hadi Karume pale. Hakikisha saa kumi kasoro inakukuta Karume. Mida hiyo wananafungua mabaloo ya mitumba grade one.
Viatu ambavyo utavipata kwenye maduka ya Mwenge na kinondoni kwa shilingi laki moja na nusu, hapo Karume utavipata kwa shilingi elfu 8 hadi 10. Chukua kama pea zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.