Habari zenu wakuu.
Mapambano yanazidi kupamba moto kila uchwao, kila mmoja katika nafasi yake. Leo nimekuja na swali kwenu nyote wataalamu katika masuala ya kusoma upepo wa biashara kule ziendako kutoka na mabadiliko ya kidunia. Kama tujuavyo kwa sasa duniani iko kasi sana kwenye suala zima la...