Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia sana kufahamika kirahisi na kuweka bei unazotaka.
msimu uliopita niliingiza faida milioni 3 kwa wiki kama 3, ubaya wa hii biashara...