Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli.
Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa...
Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
Hello wanajamii,
Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara.
Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk
Enjoy.
Kama una...
Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani.
Soko la biashara ya mtandaoni la China...
Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa mbalimbali zinauzwa, zinanunuliwa na kutangazwa kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.Hapa nchini...
Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya
Na Kelvin Isenye Ogome
Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.