Karibuni jamani niwaelekeze sehemu za kupata mitumba safi hasa kwa wale wenye vipato vidogo na unataka kuanza biashara usisubiri hadi upate mtaji mkubwa unaweza anza na kidgo nitakuonesha sehemu nzuri ambazo unaweza pata nguo hadi kwa 300 au 500 unakwenda kunuosha na kuuza bei ambayo itakupa...
Habari Wadau!
Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.
Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.