biashara ya nafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu ashiriki kikao cha wadau wa biashara ya nafaka na AMCOS

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameshiriki kikao muhimu cha wadau wa biashara ya nafaka pamoja na AMCOS kilichofanyika tarehe 27 Januari 2025 katika Ukumbi wa Bariadi Conference, Wilaya ya Bariadi. Kikao hiki kiliwaleta pamoja wadau mbalimbali wa...
  2. Xinho De Roi

    Naombeni ushauri Kwa wanaofahamu vizuri Dodoma katika Biashara ya nafaka

    Habari ndugu zangu wa JF Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma. Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye biashara ya nafaka(mchele, mahindi, maharage, kunde ngano n.k) Dodoma na msaada wa location pia Kwa mkoa...
  3. Gloria EM

    Biashara ya Nafaka - Masoko

    Habari zenu wana JF Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar. Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu. Asantee!!
  4. alextechs

    Maeneo gani hapa Dar yanafaa kwa biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia

    Naomba mnishauri ni maeneo gani hapa Dar yanafaa kuanzisha biashara ya nafaka na mafuta ya kupikia kwa jumla na Rejareja? Nimepata mtaji 10M nataka nianzishe store ya kuuza nafaka but naomba ushauri kujua ni maeneo gani yanafaa zaidi kwa hapa Dar.
  5. D

    Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa atoke alipo aingie

    Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi. Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
  6. OMOYOGWANE

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  7. aBuwash

    Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  8. Adolph Jr

    Anataka kuanzisha biashara ya kuuza nafaka, anaomba ushauri

    Ni muda tena. Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka. Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria) Anamaanisha je...
  9. aBuwash

    Biashara ya nafaka Dar ipoje?

    Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la nafaka DAR lakini mimi mi mgeni katika biashara, sijui nafaka gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje. Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
  10. L

    Biashara ya Nafaka, Mihogo, Nyanya na Vitunguu. Kutoka Tanzania Bara

    HABARI zenu Ndugu zangu. Mimi ni mkulima na agent. Wa mazao ya Mboga mboga Mboga. Kama upo Zanzibar na Unahitaji Kufanya Biashara ya NAFAKA na mazao ya Mboga mboga kama Vitunguu,nazo,nyanya n.k. nipo hapa Kukusaidia. Kazi yangu ni kukusanya, kupakia, Kulipia ushuru wa bandari na Boti na...
  11. Balozi limited

    Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
  12. Philemon2008

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya nafaka

    Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
  13. Sa 7 mchana

    Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  14. Balozi limited

    Nahitaji kufahamu namna ya kufanya biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
Back
Top Bottom