biashara ya ngono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchungaji anayesakwa na FBI kwa biashara ya ngono kwa watoto akamatwa

    Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu amekamatwa Ufilipino. Apollo ambaye kanisa lake la Kingdom of Jesus Christ (KOJC) linadaiwa kuwa na...
  2. Ni muhimu kwa raia na mamlaka kushirikiana kumaliza biashara ya ngono nchini

    Biashara ya kujiuza wanawake, au biashara ya ngono, ni shughuli haramu nchini Tanzania kulingana na sheria za nchi hiyo. Sheria za Tanzania zinapinga na kutoa adhabu kwa vitendo vya ukahaba na biashara ya ngono. Biashara hii ni hatari kwa wanawake na inaweza kusababisha madhara makubwa ikiwa ni...
  3. Biashara ya ngono na namna inavyokomeshwa

    Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni mwa mambo yanayowapelekea wanawake wengi kujihusisha na biashara ya ngono ikidhaniwa kuwa ni moja ya...
  4. DOKEZO/KERO: Tumechoshwa na Biashara ya Ngono Inayofanyika Katika Eneo la Shule maana Mabaki ya Kondomu Yanazagaa Uwanja Mzima Kirumba mwanza

    Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya...
  5. Badoo ni danguro rasmi la biashara ya umalaya Tanzania.

    Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango kikubwa cha wanaume ambao wapo na programu hizi kwenye simu zao wanatafuta makahaba. Mwezi ulioisha...
  6. Katavi: Wanawake 15 wamekamatwa Mpanda kwa kufanya biashara ya ngono

    Baraza la Madiwani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeibuliwa hoja ya baadhi ya wamiliki wa nyumba ambao wamekuwa wakipangisha mabinti na Wanawake wanaofanyabiashara haramu ya ngono ambapo imekuwa kero na kinyume cha uvunjifu wa Sheria na Maadili ya jamii. Hamis Misigalo ambaye ni Diwani wa...
  7. Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  8. Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  9. Wanachuo kwanini mnaongoza kufanya biashara ya ngono nini tatizo?

    Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito. Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi...
  10. Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  11. Kacha hii ndio ishara ya mapenzi ya jinsia moja au biashara ya ngono?

    Habari? Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua. Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja. Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya mapenzi ya...
  12. TCRA, biashara ya ngono inashamiri mitandaoni hamuoni au mmeuchuna tu?

    Salaam wakuu, natumai nyote mpo salama Ndugu zangu kijana wenu nimekuwa mtumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Telegram, Instagram, Twitter na mingineyo. Kama utakukubaliana na Mimi ukipita kwenye mitandao hii Kuna kiwango kikubwa Cha biashara ya ngono (umalaya) inayohusisha watu...
  13. RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
  14. Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    Jana tulianza kuchapisha makala maalum kuhusu kushamiri kwa biashara ya ukahaba kwenye maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, katika uchunguzi huo imebainika kuwa, kuna kushamiri zaidi kwa watoto wadogo chini ya miaka 18 kujiingiza kwenye biashara hiyo haramu. Timu ya waandishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…