biashara ya nguo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    Jinsi ya Kuanza na Kufanikisha Biashara ya Kuuza Nguo Mtandaoni kwa Mazingira ya Tanzania

    Kuuza nguo mtandaoni ni mojawapo ya fursa kubwa za biashara zinazochipukia kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa teknolojia na ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, na WhatsApp umefungua milango kwa wajasiriamali wengi kuanzisha maduka ya mtandaoni. Hapa chini ni...
  2. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  3. Mr Ebora

    Biashara ya nguo

    Habari za humu Wana familia,Mimi ni mgeni humu ndani,Nina mtaji mdogo Sana kima cha laki3 ndoto yangu nifanye biashara ya kununua na kuuza nguo na viatu vya kike,,nimejaribu za kutembeza napata faida kidogo ila changamoto NI wateja wachachenachoka Sana,nilitaka nifungue office ila vitu vya...
  4. M

    Biashara ya nguo mnadani

    Habari zenu wadau naimani mungu Bado anatueka salama Leo nimekuja naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza nguo minadani Kwa kufungua baloo kabisa je itanilipa nimepanga kumuajiri mtu awe anatembea na mnadani Ani Kwa wiki aweze kwenda minada ata mi4 je hii itanilipa wadau tupo apa kusaidiana...
  5. themagnificient

    Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Juzi kuna memba aliweka uzi kuwashirikisha wanajukwaa kuwa Vunjabei anahisi kama anaenda kufilisika ila hakuwa na uhakika yote ni sababu ameona maduka yake kama yanapumulia Gesi na mengine kufungwa mikoani huko wengine wanadai hadi zile plate no za majina ameondoa kuepuka Garama uchumi...
  6. Jack_tshirt_point

    Nauza chumba cha kufanyia biashara Katoro-Geita

    Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa kwahy nina uzoefu mkubwa sana,mambo kadhaa kufahamu kabla hujaanza kufanya biashara hii ni; 1. lazima...
  7. onike kaponko

    Biashara ya nguo za watoto

    Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
  8. Ubungo Mataa

    Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

    Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
  9. Expensive life

    Ukitaka kutoboa kwenye biashara ya nguo, lenga wanawake na watoto hapo utakuwa ume-win

    ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana? Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi? Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu. Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka...
  10. I

    Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

    Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha. Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
  11. I

    Biashara ya nguo za mtumba

    Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
  12. BARD AI

    Mawaziri wa Afrika wakubaliana kupiga marufuku biashara ya Nguo za Mtumba

    Uamuzi huo umefikiwa na Mawaziri wa Nchi za Afrika, baada ya Mkutano wa pili uliofanyika jijini Nairobi ikiwa ni utekelezaji wa matakwa ya Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene, amesema uamuzi wa kuzuia biashara ya mitumba ni hatua muhimu ya...
  13. Marcellojr

    Naomba kupewa maarifa kuhusu biashara ya nguo za ndani za kike

    Naombeni ndugu wajuzi humu ndani mnipe ABC ya biashara ya nguo za ndani kwa wanawake yaani chupi....nina wazo la kufata mzigo Kampala Uganda ila sasa bado sina uzoefu wake so naombeni mnichangie mawazo juu ya hili.....asanteni
  14. E

    Natafuta wauzaji wa nguo za mtumba Mikoani

    Ndugu habari! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani. Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea Mawasiliano 0744644627 0622531099 Hata pia kwa...
  15. I

    Biashara ya nguo

    Hello wadau. Nimefungua duka la nguo za mtumba eneo flani.. lakin kwa sasa nimeweka vinguo t vya kitoto na kanzu za msikitini za kiume. Ila biashara ya baibui za mtumba na vinguo vyngn vya mtumba vinaend san so ikiwa kuna yyte ambae atakubali kuingia ubia na mimi katika hyo baishara na...
  16. winnerian

    Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  17. E

    Naomba kufundishwa kuhusu Biashara ya nguo

    Naomba mnipe madini kuhusu biashara ya nguo jinsi ya kupata kwa bei rahisi na kuuza (vijora tshirt na jeans)
  18. Disaba

    Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

    Habari za humu ndani ndugu zangu. Katika hali ya kuchakarika na kutafuta maisha hatimaye leo nimekuja na wazo langu ambalo nahitaji msaada toka kwenu wadau au kama kuna wazo zuri zaidi ya hili unaweza pia nishauri. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya nguo za wadada na watoto, kwa mzoefu au...
  19. N

    Biashara ya nguo kutoka Vietnam

    Ndugu zangu, kwa uzoefu wangu nimegundua Vietnam wana nguo nzuri sana (kike na Kiume) na bei zake pia ni nzuri. Natamani sana kufanya biashara ya kuuza nguo kutoka huko. Naomba kwa wenye uzoefu namna ya kupata mzigo maana nimeambiwa hatuna ubalozi wa Vietnam hapa Tanzania. Je process za kupata...
Back
Top Bottom