Habari za humu Wana familia,Mimi ni mgeni humu ndani,Nina mtaji mdogo Sana kima cha laki3 ndoto yangu nifanye biashara ya kununua na kuuza nguo na viatu vya kike,,nimejaribu za kutembeza napata faida kidogo ila changamoto NI wateja wachachenachoka Sana,nilitaka nifungue office ila vitu vya...