biashara ya pool table

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenye uzoefu na biashara ya pool table

    Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano Mtaji wake ni sh ngapi? Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi? Changamoto zake ni zipi Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…