Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji.
Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa.
Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
Wakuu msaada hapa mawazo tutani, napenda sana biashara ya samaki, naomba kujua ni kwa namna gani nitafanya bishara hii japo kwa mtaji mdogo ila tu inipe faida.
Kwa uenyeji mimi nipo mkoa wa mara jirani na ziwa victoria napenda sana kuiweza hii biashara na kama kuna mtu tunaeza piga nae mtaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.