Habari zenu ndugu zangu.
Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo:
1. Utaratibu wa usajili wa kituo na kiasi cha pesa cha kusajili
2. Curriculum nzuri ya kutumia ambayo ni applicable
3. Faida na...
Mimi ni mwalimu daraja la IIIB. Nina zaidi ya miaka 5 bila ajira. Kijijini kwetu kuna changamoto ya Shule na wazazi na jamii Kwa ujumla wamejichangachanga hera na wamejenga madarasa mawili pamoja na ofisi.
Shida ni kwamba toka wajenge madarasa hayo ni zaidi ya miaka kumi sasa hayafanyiwi kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.