Mimi ni mwalimu daraja la IIIB. Nina zaidi ya miaka 5 bila ajira. Kijijini kwetu kuna changamoto ya Shule na wazazi na jamii Kwa ujumla wamejichangachanga hera na wamejenga madarasa mawili pamoja na ofisi.
Shida ni kwamba toka wajenge madarasa hayo ni zaidi ya miaka kumi sasa hayafanyiwi kazi...