Wadau naomba msaada namna bora ya kuanza biashara hii, nianze na bidhaa gani maana simu na assessories ndo ndoto kubwa,
Ombi langu kwa wazoefu ,ni kupata taarifa kuhusu bidhaa ipi itapush ndoto zangu kwa speed ili niweze kuzifikia ndoto mapema.
Tathmin yangu ni kuanza na mtaji mdogo wa million...
Ugomvi kati ya wateja na wauzaji wa simu, hasa hizi used za Dubai au refurbished, ni jambo linalotokea mara nyingi. Mara nyingi, chanzo kikuu ni pale simu inapoharibika, na mteja anataka kuirejesha ili abadilishiwe. Kuna wakati muuzaji anakuwa sahihi, na kuna wakati mteja anakuwa sahihi. Je, ni...
Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi.
Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia.
Call or WhatsApp +255713861567
Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !!
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye karibia kila baada ya dakika 5 lazima nizame kwenye deep thinking kuhusu kitu chochote (positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.