Wakuu amani iwe nanyi!
Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina sisi tunaoitizama biashara hii kama fursa ya kufanya hatujaingia mazima mazima.
Karibuni sana Wakubwa.
Ndugu, habarini.
Naomba mnielekeze kuhusu hii biashara inayohusiana na kutengeneza matofali ya block.
Changamoto
Faida
Tahadhari
Uendeshaji
Mbinu
Mashine na vifaa
Gharama za uendeshaji
Karibuni wajuvi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.