Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongozi😃. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu.
Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? Kama jibu hapana, sasa tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili...
Kama kiongozi ambae ni presidential appointment anaweza kuwa mpumbavu kiasi cha kutoa oda za kudhalilisha watu maana yake ujumbe umfikie Rais Samia na huyu mtu hapaswi kuendelea kuwa ofisini as we speak!
Hivi jeshi la polisi have no room to reason kutokana na orders za hawa makarai ya kisiasa...
Najua kwa sasa hoja na habari kuu ni "Mauaji ya Asimwe" na nitakuja kusema kuhusu hili, lakini kwa vile sikupata fursa ya kutoa maoni yangu kuhusu suala la DC Ubungo kukamata watu na kuwaweka ndani kwa kosa la "kufanya ukahaba", tena kwenye siku ya siku kuu huku akiagiza mara baada ya siku kuu...
Hii ni zaidi ya kuminya mapato ya wilaya kama hajajua, hivi inaingia vipi akilini unaenda kumkamata mtu chumbani kwenye gest au lodge iliyosajiliwa na mmiliki analipa kodi serikalini monthly na ana leseni?
Binafsi naomba mkuu wetu wa Wilaya tupatie utaratibu au vigezo ambavyo vinatakiwa kwa mtu...
Wasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na...
Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume...
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa sababu kula mizoga haihitaji nguvu ñyingi wala jitihada kubwa.
Mzoga unapatikana kirahisi.
Fisi...
Kwema humu, nimeona kwenye vyanzo mbalimbali kuhusu oparesheni ya wale dada zetu na kwa bandiko hili naomba niwaite "wajasiriamiili" au "rasilimali watu" ni kweli kumekuwa na idadi kubwa ya wadada ambao husimama nyakati za jioni au usiku siwezi kusema wanajiuza kwani binafsi sijawahi kununua ila...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa
Chanzo: Jambo TV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.