Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongozi😃. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu.
Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? Kama jibu hapana, sasa tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili...