Naomba kujua bei za viatu vya mtumba karume kwa sasa na mbinu za kupoint viatu vizuri maana mimi nipo nje ya Dar na ndio naanza mara ya kwanza.
Pia naomba kujua kama kuna guest za kufikia karibu na hilo soko ili niweze kutoka na kufika kirahisi hiyo saa tisa za usiku. Nashukuru sana