biashara ya viatu mtumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba wenye uzoefu na biashara ya kupoint viatu Karume saa kumi wanipe abc nataka kuanza hii biashara

    Naomba kujua bei za viatu vya mtumba karume kwa sasa na mbinu za kupoint viatu vizuri maana mimi nipo nje ya Dar na ndio naanza mara ya kwanza. Pia naomba kujua kama kuna guest za kufikia karibu na hilo soko ili niweze kutoka na kufika kirahisi hiyo saa tisa za usiku. Nashukuru sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…