Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum
Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
Habari wakuu,
Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia milioni 8 na ana miezi 9 kwenye game, aliniambia nitafute mtaji then anipe connection ila toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.