Sitokua na maneno mengi, ila pamoja heshima zenu kuzingatiwa , nitambue wana jf popote walipo kila mmoja kwa imani yake , Mungu akawe juu yenu.
Poleni na janga la ghorofa Kariakoo ambalo limepelekea kuwapoteza ndugu zetu baadhi na Mungu Mwema atawapumzisha pale panapostahili.
Rejea kichwa...
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Steven Nyerere, ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya mfanyabiashara Niffer kumjibu Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kupitia mitandao ya kijamii. Hii ilitokea baada ya Niffer kuitwa kituo cha polisi kwa mahojiano kufuatia kampeni yake ya kuchangisha...
Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya...
Ni binti mdogo wa miaka 25 tu. Lakini kwa sasa anamiliki maduka mengi tu hapa mjini
Pia anamiliki Niffer Mall
Pia anamiliki ndinga kali za Gharama kama RangeRover Sport, RangeRover Evoque, na Range Rover vogue kwa sasa ya milioni 160 wakati mimi ndo kwanza nina Nissan duals[emoji23]
Huyu ni...
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo.
Niffer ambaye ametimiza miaka 24 mwaka huu, amesema safari yake ya kuutwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.