biashara za sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Huduma zilizokuwa zinatolewa kwenye viwanja vya SabaSaba ziendelee hivyo hivyo

    Kumekuwa na kawaida ya Taasisi mbalimbali za umma na Binafsi wakati wa maadhimisho fulani ndio huchakarika kwelikweli lakini yakiisha ndio basi. Tunawakumbusha kuendelea kuwa wakarimu na kutoa huduma bora vilevile kama mlivyokua mkielezea wakati wa SabaSaba.
Back
Top Bottom