Habari zenu wanajamvi?
Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)?
Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani, ukiingia kwenye website ya kufanya booking wameweka nauli zao kwa Dola badala ya Tsh, hii ni sawa?