Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.
Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama...