Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu
Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika.
Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED
Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum.
Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake.
Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
Hapa kuna jambo kidogo.
Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda.
Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima.
Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka.
Ilikua baada ya ya kuniletea mabalaa kwangu
Sasa badae katika maisha huyu hapa Tukakutana. Ikabidi katika maongezi kasema njoo hapa...
MHADHARA (87)
👁️Ewe mwanaume;
Kama huna lengo la kuzaa usimpe mimba mwanamke, kama utampa mimba mtunze/tunzaneni. Ikiwa utampa mimba mwanamke na kumtelekeza utamfanya ateseke, pia utamtenganisha na fursa nyingi za maisha kwasababu ya muda mwingi atakuwa kwenye malenzi ya mtoto bila baba...
Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu.
Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia...
Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta maana yake. Inasemwa kuwa msemo huu ulianza kutumika wakati wa utawala wa Ujerumani. Wajerumani...
Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe.
Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of...
BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA
Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa.
Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi.
Labda kama isingekuwa Tamasha la Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mchengerwa na pengine wengi tusingefika Ikwiriri hadi...
Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize.
Bwana waziri ana ukwasi kiasi gani kulipa Wasanii wote waliotajwa wakiwemo Diamond, Harmonize na all the way from DRC Mbilia Bell...
Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake.
Alikuwa amevaa gauni la bluu...
Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu.
Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji!
===============
Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.