bibi harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cameroon: Bibi harusi anguka ghafla na kuaga Dunia wakati sherehe za harusi zikiendelea

    Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon ========= Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
  2. Katavi: Ndoa yafanyika bila Bibi harusi

    Habari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV. Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza wake, ikidaiwa siku chache zilizopita familia ya bibi harusi ilighairi kufanyika kwa ndoa hiyo...
  3. Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  4. M

    Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
  5. O

    Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

    Bibi harusi mtarajiwa, Rehema Chao (37) na mama yake mzazi, Agness Chao (75) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum kugonga lori. Ajali hiyo iliyotokea baada ya Rehema aliyekuwa dereva wa gari hilo kukwepa shimo na kugongana na lori, pia imesababisha kifo cha...
  6. J

    Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

    Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
  7. Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  8. M

    Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  9. Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

    Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
  10. Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  11. C

    Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli. UPDATE: Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…