Bibi Titi Mohammed (June 1926 – June 5, 2000) was a Tanzanian politician of Muslim descent. She was born in June 1926 in Dar es Salaam, at the time the capital of former Tanganyika. She first was considered a freedom fighter and supported the first president of Tanzania, Julius Nyerere. Bibi Titi Mohammed was a member of the Tanganyika African National Union (TANU), the party that fought for the independence of Tanzania, and held various ministerial postitions. In October 1969, she was sentenced for treason, and, after two years in prison, received a presidential pardon.
SITI BINT SAAD KATIKA MAISHA YA BIBI TITI MOHAMED
Haya ninayoandika hapa nimeelezwa na marehemu Leyla Sheikh mjukuu wa khiyari wa Bibi Titi Mohamed na shoga yake kipenzi.
Leila alikuwa anakusanya taarifa katika maisha ya Bibi Titi Mohamed kwa nia ya kuandika kitabu cha maisha yake na pia...
BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA
Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa.
Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi.
Labda kama isingekuwa Tamasha la Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mchengerwa na pengine wengi tusingefika Ikwiriri hadi...
BIBI TITI MOHAMED NA LUCY LAMECK
Kushoto ni Bibi Titi Mohamed na kulia ni Lucy Lameck wakiwa China na Mao Tse Tung.
Hii picha kaniletea dada yangu mmoja ambae aliona nimeweka picha ya safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955 na katika picha hiyo yuko Bibi Titi na Lucy Lameck lakini nimesema sina...
Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake.
Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus.
Amin.
https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
Nimefikishiwa taarifa kuwa kuna Group la vijana leo kutwa nzima wanajadili historia ya Bibi Titi.
Mpashaji habari wangu kaniuliza maswali mengi kuhusu historia ya Bibi Titi na kama nilimfahamu wakati wa uhai wake.
Ukweli ni kuwa hakuna aliyemwandika Bibi Titi kama anavyostahili kuandikwa...
SIKU YA MWANAMKE DUNIANI
Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru.
Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE"
Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho.
Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao, uwezo na nafasi ya mwanamke kwenye jamii, mchango wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Taifa hili.
Akizungumza...
JIONI MOJA NA BI. TITI NYUMBANI KWAKE UPANGA MIAKA YA 1980
Nimewakuta watoto hawa leo asubuhi hapa Ikwiriri, Rufijib wanaitazama picha ya Bi. Titi nikawaomba tupige picha mimi na wao na Bi. Titi.
Watoto hawa wamenikumbusha siku moja jioni moja kiasancha miaka 30 iliyopita nilipokwenda nyumbani...
Tuweke historia yetu vema,leo kulikuwa na maadhimisho ya siku ya wanawake wa CCM UWT na kumuenzi Bibi Titi Mohamed,Lakini mzee mmoja tukitizama nae mbashara sherehe hizi amenipa stori tofauti kabisa ambayo sikuijua hapo kabla kwa kuwa hainenwi,ndipo nikaamua kuchimbua makaburi nikakutana na hii...
UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) KUMUENZI BI TITI MOHAMED (1926 - 2000)
Leo nimetembelewa na Waandishi Maalum waliokuja nyumbani kwangu tufanye kipindi kuhusu maisha ya Bi. Titi Mohamed ambae taifa limeamua kumuenzi kama tangazo linavyoonyesha hapo chini.
Nimejitahidi kumueleza Bi. Titi kadri...
Picha hiyo hapo chini ya Bi. Titi na akina mama wa Bukoba wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika nimeletewa kutoka Bukoba na mmoja wa watu ambao nawaheshimu sana katika kuhifadhi kumbukumbu.
Kaniletea picha nyingi na In Shaa Allah nitaziweka hapa JF kwa faida yetu sote.
Waliosimama kutoka...
JUMAMOSI Agosti 1, 1970 Mahakama Kuu ya Tanzania iliambiwa na mkurugenzi wa mashitaka jinsi Bibi Titi Mohamed alivyogharamia mapinduzi ya kumuua Julius Nyerere na kuiangusha serikali yake.
Mahakama iliambiwa kuwa Bibi Titi katika siku isiyojulikana aliitisha mkutano na katika kikao hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.