bibi titi

Bibi Titi Mohammed (June 1926 – 5 November 2000) was a Tanzanian politician of Muslim descent. She was born in June 1926 in Dar es Salaam, at the time the capital of former Tanganyika. She first was considered a freedom fighter and supported the first president of Tanzania, Julius Nyerere. Bibi Titi Mohammed was a member of the Tanganyika African National Union (TANU), the party that fought for the independence of Tanzania, and held various ministerial positions. In October 1969, she was sentenced for treason, and, after two years in prison, received a presidential pardon.

View More On Wikipedia.org
  1. Siti bint Saad Katika Historia ya Bibi Titi Mohamed

    SITI BINT SAAD KATIKA MAISHA YA BIBI TITI MOHAMED Haya ninayoandika hapa nimeelezwa na marehemu Leyla Sheikh mjukuu wa khiyari wa Bibi Titi Mohamed na shoga yake kipenzi. Leila alikuwa anakusanya taarifa katika maisha ya Bibi Titi Mohamed kwa nia ya kuandika kitabu cha maisha yake na pia...
  2. Watoto wa Kazi Kazini: Ona Stories na Historia ya Bibi Titi

    VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake. Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
  3. Prof. Kibaijuka akiri historia ya Bibi Titi na Kambona kufichwa

    Akihojiwa na kituo cha Wasafi Media Mkongwe Profesa Tibaijuka amekiri wazi kuwa historia ya Tanganyika ameficha mchango wa Bibi Titi na Oscar Kambona. Amesema kulikuwa na kutokuelewa na Mwalimu. Amesema kwenye siasa haya ni mambo ya kawaida lakini sio sababu ya kuwaweka pembeni katika historia...
  4. Profesa Tibaijuka: Historia ya Bibi Titi na wenzake inafichwa kwa sababu za wivu

    Akihojiwa na Wasafi Tv, bi Tibaijuka pamoja na mambo mengine amedai tabia ya kufichwa kwa Historia nzuri ya baadhi ya wapigania Uhuru wa Nchi yetu ni kwa sababu ya ushamba na woga wa kuwapatia sifa stahiki wale ambao tunadhani kwa kutofautiana nao ki mtazamo tunawakomoa. "....ipo siku historia...
  5. Bibi Titi Mohamed na Schneider Plantan 1955

    https://youtu.be/VFbn-fjnZE4
  6. Kuundwa Kwa TANU na Bibi Titi Kuingizwa Katika Chama

    https://youtu.be/ZrfyEHlxr7I?si=0NQ32KUKcYxDI260
  7. Bibi Titi Mohamed Mwanamke Shujaa

    BIBI TITI MWANAMKE SHUJAA Labda kama ingekuwa si Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mohamed Mchengerwa. Mh. Mchengerwa ndiye muasisi wa Tamasha la Bibi Titi. Labda kama isingekuwa Tamasha la Bibi Titi Mohamed nisingefahamiana na Mh. Mchengerwa na pengine wengi tusingefika Ikwiriri hadi...
  8. Bibi Titi Alihifadhi Historia ya Maisha Katika Uhai Wake

    BIBI TITI ALIHIFADHI HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA UHAI WAKE 13.559 Aufrufe · 18 Reaktionen #WasafiDigital #WNews | Wasafi FM
  9. Kinachosubiriwa ni Kitabu cha Bibi Titi Mohamed

    https://www.facebook.com/share/r/Ddz2zfnNcBL6HWPw/?mibextid=Nif5oz
  10. Rufiji FM Kipindi Maalum Bibi TITI Mohamed

    https://youtu.be/MKE0ogAnTNk?si=cFfZRgBGJ1CZOah4
  11. Bibi Titi Mohamed Festival Ikwiriri: Bibi Titi Kahutubia Mikutano Miwili Hamjui Nyerere

    https://youtu.be/Xk_wM5zg6lc?si=fcr5XUGkUP2Xy7Hr
  12. Mchengerwa na bibi Titi feastival Rufiji

    Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize. Bwana waziri ana ukwasi kiasi gani kulipa Wasanii wote waliotajwa wakiwemo Diamond, Harmonize na all the way from DRC Mbilia Bell...
  13. Bibi Titi Mohamed na Lucy Lameck

    BIBI TITI MOHAMED NA LUCY LAMECK Kushoto ni Bibi Titi Mohamed na kulia ni Lucy Lameck wakiwa China na Mao Tse Tung. Hii picha kaniletea dada yangu mmoja ambae aliona nimeweka picha ya safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955 na katika picha hiyo yuko Bibi Titi na Lucy Lameck lakini nimesema sina...
  14. Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
  15. Wanajadili Historia ya Bibi Titi Mohamed lakini hakuna hata mmoja anaeijua historia yake

    Nimefikishiwa taarifa kuwa kuna Group la vijana leo kutwa nzima wanajadili historia ya Bibi Titi. Mpashaji habari wangu kaniuliza maswali mengi kuhusu historia ya Bibi Titi na kama nilimfahamu wakati wa uhai wake. Ukweli ni kuwa hakuna aliyemwandika Bibi Titi kama anavyostahili kuandikwa...
  16. Bibi Titi Mohamed Shujaa Mwongoza Njia

    SIKU YA MWANAMKE DUNIANI Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika harakati zao za kupigania uhuru. Naanza na kipande hicho hapo chini kinachomjulisha Bibi Titi miaka ya...
  17. Bibi Titi na Historia ya Mnazi Mmoja 1950s

    BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union. Walikusanyika hapo wakitokea kwenye ofisi ya chama chao iliyokuwa katikati ya uwanja wa wazi nyuma ya...
  18. Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

    BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho. Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
  19. F

    Historia ya Marehemu Bibi Titi Mohammed, Baba yake bibi titi alikataa mwanae asisome shule maana atakuwa kafiri. Nyerere alikosa waislamu wasomi wengi

    habari wadau. naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru. Mzee wetu kipenzi Mohamed Said huwa analiongelea swala hili la nyerere na waislamu mara kwa mara. nimeshangaa kukuta maneno ya...
  20. Chatanda Asema Bibi Titi Mohamed ni Muasisi Bora Katika Taifa Letu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao, uwezo na nafasi ya mwanamke kwenye jamii, mchango wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Taifa hili. Akizungumza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…