Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu.
Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood.
Sasa leo katika kusoma kwangu...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.
Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani?
Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo.
Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa.
Tunaambiwa Mungu alishusha hizo amrita kwa Mussa na baadae zikaandikwa kwenye mawe na ndio hizi tunazisoma katika...
Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini.
Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali.
moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
2 Wafalme 11:1-17,19-21
[1]Na Athalia, mama yake Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaharibu wazao wote wa kifalme.
[2]Ila Yehosheba, binti wa mfalme Yehoramu,
umbu lake Ahazia, akamtwaa Yoashi mwana wa Ahazia, akamwiba miongoni mwa hao wana wa mfalme waliouawa, yeye na...
Habari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili.
Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU CHA MUNGU na kinaongoza watu kwenda mbinguni na pia Qur' an ni KITABU chuamungu na kinaongoza watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.