biblia takatifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bado natafuta

    Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke

    Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
  2. Oya Tusepe

    Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  3. covid 19

    Nimekuwa nikitafakari kuhusu Biblia na namna waandishi wake walivyoandika matukio mbalimbali kuhusu Yesu. Mambo kadhaa yananipa maswali

    1. Biblia inasema Yesu alifunga kwa siku arobaini jangwani, akiwa peke yake, na akajaribiwa na Shetani. Nani alirekodi majaribu hayo wakati hakukuwa na mtu mwingine aliyeshuhudia na hakuna sehemu inayosema Yesu alisimulia tukio hilo? 2. Katika bustani ya Gethsemane, Yesu alienda kuomba kwa...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

    Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka. Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri. Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
  5. tufahamishane

    Tusome wote Biblia Takatifu kwa sauti kubwa

    Mwanzo 9:6 Inasema Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
  6. King Jim

    Mambo usiyoyajua kuhusu Biblia

    BIBLE'S CONSPIRACIES 1. MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU BIBLIA ambayo yatakushangaza hata kama umekuwa Mkristo uliyapata kipaimara na kubatizwa. Namba 6 itakushangaza! Tafadhari USISOME kama hukupitia Bible School. Imeandikwa na King Jim 1. Biblia ndio kitabu kilichokamilika zaidi nilichowahi...
  7. M

    Una mtazamo gani juu ya ongezeko la manabii hapa nchini?

    Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao. Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye biblia takatifu. Kwa ulewa wangu mdogo ni kwamba wale manabii wa kale ambao walitajwa kwenye biblia...
  8. Determinantor

    Kwa Mujibu wa Biblia Takatifu, "Machawa" walitendwa hivi

    Kama kuna kitu kilikua hakivumiliki kwenye miaka hio ilikua ni "uchawa". Machawa waliuliwa/uwawa upfront bila kupoteza muda. Natamani Sana Enzi zile zingerudi, tungepoteza Vijana wengi Sana. 2 Samweli 4:10 [10]mtu mmoja aliponiambia, akasema, Tazama, Sauli amekufa, akidhani ya kuwa ameleta...
  9. Mhaya

    Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  10. EINSTEIN112

    Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    1 Tim 4:12 SUV Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. Lk 2:52 SUV Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. Efe 6:11-18 SUV Vaeni silaha zote za Mungu, mpate...
  11. tpaul

    Krismasi sio sikukuu ya kipagani; wapuuzeni wanaoibeza kwa kusoma mistari hii ya biblia takatifu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Awali ya yote naomba ku declare interest kuwa mimi ni mkristo; sio mpagani au muumini wa dini zisizojulikana. Kuna baadhi ya waumini wa dini pamoja na wapagani wanaodai kwamba sikukuu ya krismasi ni kipagani....kwamba hakuna mistari yoyote ya biblia...
  12. Nelson Kileo

    Je, wajua? - Special Thread

    Habari zenu wadau. Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya kuyashuhudia au kuyasikia kwa muda muafaka. Hii inaweza kua kipindi kilichopita au hata kwa wakati huu...
Back
Top Bottom